Kijana na kujitegemea

Maisha ya vijana 
Wakati ni muda na muda ni maisha,wakati vijana wengi kwa sasa wakiamua kutengeneza njia ,ubunifu ,mbinu na namna mbadala za kusaidia kujikwamua kwenye Lindi la umaskini,ukosefu wa ajira na changamoto zinazoikumba jamii,kutana na baadhi ya makala kutoka kwa wataalamu mbali mbali wakitoa namna Bora za kufikia ndoto zako ili ukamilishe kwa muda njia unayoiendea ya mafanikio.

Comments